Limepimwa? Lina hati?Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!!Eneo lipo maeneo ya mbuyuni(nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts
Tel:0767833496
Email;stevenmasaka@gmail.com
Mkuu eneo hili nilirithi baada ya babu yetu kutugawia maeneo,januari mwaka huu.na sijakuwa dodoma muda mrefu,japo nilianza mchakato wa kufuatilia kupimwa na kupata hati!kwa sasa halina hati wala kupimwa.naweza sema naliuza kienyeji by now,ila kwa atayehitaji tunaweza kukubaliana hizo taratibu zote.deal negotiatable!!!being honest is niceLimepimwa? Lina hati?
Kabisa mkuuDah, hii pesa hii, hio nafsi ya kuachia hata kidogo. Little Angel kuja kuna eneo
Aisee ww ni noma! . Japo una shida lkn, umepata wapi wazo la kuuza ardhi uliyorithi, tena babu yako alikugawia January mwaka huu? Babu angekuwa na akili kama za wajukuu leo ungekuta ana hata pa kuegesha hata ubavu?Mkuu eneo hili nilirithi baada ya babu yetu kutugawia maeneo,januari mwaka huu.na sijakuwa dodoma muda mrefu,japo nilianza mchakato wa kufuatilia kupimwa na kupata hati!kwa sasa halina hati wala kupimwa.naweza sema naliuza kienyeji by now,ila kwa atayehitaji tunaweza kukubaliana hizo taratibu zote.deal negotiatable!!!being honest is nice
Sasa mkuu mpaka nikuambie kila kitu.aya basi nlipata ekari 10 nauza 4 tu!!!Aisee ww ni noma! . Japo una shida lkn, umepata wapi wazo la kuuza ardhi uliyorithi, tena babu yako alikugawia January mwaka huu? Babu angekuwa na akili kama za wajukuu leo ungekuta ana hata pa kuegesha hata ubavu?
Akijua umeuza cjui atakuonaje.
Tuwekee location tupaone kwa Google map.Sasa mkuu mpaka nikuambie kila kitu.aya basi nlipata ekari 10 nauza 4 tu!!!
Unazungumza mbuyuni ipi?ya kondoa iyo.mimi eneo lilipo ni maeneo ya mbuyuni kama unaenda singida.kwa lugha rahisi eneo halipo mbali na mbuyuni(nikisema karibu na machinjioni utakuwa umenielewa vizuri).karibuMbuyuni si walisema eneo la viwanda kule
Mapema mno, subiri miaka kadhaa babu yako akishaenda safari ya mbali.Sasa mkuu mpaka nikuambie kila kitu.aya basi nlipata ekari 10 nauza 4 tu!!!
Mkuu kwani vipi .... Unajua kakwama kwa kiasi gani .......Na unajua kipi anataka kukifanikisha .....??Mapema mno, subiri miaka kadhaa babu yako akishaenda safari ya mbali.
Haijalishi amekwama kiasi gani, kukwama haipo kwake tu. Hapo tunaangalia property ni ya kwake katafuta kwa jasho, au ni mali ya ukoo/family. Mali ya ukoo ni haki ya watoto, wajukuu na vizazi vijavyo. Ila cjamzua kuuza, ni mind blowing opinion tu.Mkuu kwani vipi .... Unajua kakwama kwa kiasi gani .......Na unajua kipi anataka kukifanikisha .....??
Mkuu we dont have Grounds to Confront.Stop being so Argumentative!I know Exactly what i'm doingHaijalishi amekwama kiasi gani, kukwama haipo kwake tu. Hapo tunaangalia property ni ya kwake katafuta kwa jasho, au ni mali ya ukoo/family. Mali ya ukoo ni haki ya watoto, wajukuu na vizazi vijavyo. Ila cjamzua kuuza, ni mind blowing opinion tu.