DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
Nataka chumba master mitaa ya uhamiaji kurasini mkuuNimerudia Kazi Yangu
Jasiri haachi asili! ✊
Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika.
📍 Ninapangisha:
✅ Nyumba
✅ Vyumba
✅ Fremu za Biashara
Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam ( Kwa haraka zaidi meneo ya Mbezi Beach, Goba, Mbezi kimara, Kifuru Kinyerezi segerea)
Lakini pia, nahusika na kufanya connection ya ishu mbalimbali—ukihitaji msaada wowote unaohusiana na makazi, biashara, au mawasiliano na watu muhimu, usisite kunitafuta.
Mimi ni dalali aliyenyooka, siwachanganyi watu wala siuzi hewa. Uaminifu wangu ndiyo mtaji wangu.
📞 Karibu tuwasiliane – huduma ni ya haraka, wazi na rafiki.
Nyumba ya kupanga maeneo ya Bunju, Goba, Basihaya tuseme kuanzia Tangi Bovu mpaka Bunju kwa Jeshi inaweza kuwa kiasi gani kwa mwezi. eg Vyumba viwili na sebuleNimerudia Kazi Yangu
Jasiri haachi asili! ✊
Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika.
📍 Ninapangisha:
✅ Nyumba
✅ Vyumba
✅ Fremu za Biashara
Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam ( Kwa haraka zaidi meneo ya Mbezi Beach, Goba, Mbezi kimara, Kifuru Kinyerezi segerea)
Lakini pia, nahusika na kufanya connection ya ishu mbalimbali—ukihitaji msaada wowote unaohusiana na makazi, biashara, au mawasiliano na watu muhimu, usisite kunitafuta.
Mimi ni dalali aliyenyooka, siwachanganyi watu wala siuzi hewa. Uaminifu wangu ndiyo mtaji wangu.
📞 Karibu tuwasiliane – huduma ni ya haraka, wazi na rafiki.
mm naishi maeneo haya mbezi beach makonde apartment laki saba, nyumba zinaanzia laki tatu. chumba nafikiri 70k ila tumsubiri dalalli mkuuNyumba ya kupanga maeneo ya Bunju, Goba, Basihaya tuseme kuanzia Tangi Bovu mpaka Bunju kwa Jeshi inaweza kuwa kiasi gani kwa mwezi. eg Vyumba viwili na sebule
Asante sana mkuu. Mimi naulizia nyumba ya kawaida yenye fensi. Kama vyumba viwili na sebule.mm naishi maeneo haya mbezi beach makonde apartment laki saba, nyumba zinaanzia laki tatu. chumba nafikiri 70k ila tumsubiri dalalli mkuu
hizo hazizidi 300k-400k.Asante sana mkuu. Mimi naulizia nyumba ya kawaida yenye fensi. Kama vyumba viwili na sebule.
Hiyo ni nyumba nzima mkuu. kwa Goba ni 350k basihaya huko sina uzoefu napo. Mbezi beach ni ngumu kupata ya aina hiyo. kama unahitaji na uko siriaz nikutafutie.Nyumba ya kupanga maeneo ya Bunju, Goba, Basihaya tuseme kuanzia Tangi Bovu mpaka Bunju kwa Jeshi inaweza kuwa kiasi gani kwa mwezi. eg Vyumba viwili na sebule
Asante mkuu. Ameshapata leo, Bunju. 400k.Hiyo ni nyumba nzima mkuu. kwa Goba ni 350k basihaya huko sina uzoefu napo. Mbezi beach ni ngumu kupata ya aina hiyo. kama unahitaji na uko siriaz nikutafutie.