FAJES
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 720
- 644
- Je, wewe ni Mgeni au Mwenyeji na unahitaji nyumba ya kupanga Jijini Mbeya.?
- Je, wewe ni Mfanyabiashara/Mjasiriamali na unahitaji sehemu ya kufanyia biashara Jijini Mbeya.?
- Je, wewe ni mmiliki wa Nyumba au sehemu ya biashara na unahitaji Mpangaji Jijini Mbeya.?
Usisumbuke, tupo kwa ajili ya kukurahisishia upatikanaji wa huduma unayohitaji.
Umakini, huduma ya haraka, uaminifu na udugu ni misingi na nguzo kuu kwa huduma zetu.
ANGALIZO;
Usitume pesa kwa mtu awaye yeyote yule. Wala usitangulize pesa kwa yeyote ili kushika nyumba husika.
Malipo yote yanafanyika kwa Mmiliki wa Nyumba/Kiwanja/Shamba ana kwa ana baada ya mteja kuridhia.
Manunuzi yote yanayohusu Nyumba/Shamba au Kiwanja yatafanyika mbele ya uongozi wa serikali ya mtaa husika baada ya kuthibitishwa kwa uhalali wa umiliki wa Nyumba, Shamba au Kiwanja husika.
Karibu tukuhudumie na uokoe muda, usipate shida ya kupata hitaji lako, tupo kwa ajili ya kukufikishia huduma kwa haraka na ubora wa hali ya juu..
Mawasilaino: 0620 538 081
Email: fajestz@gmail.com
Last edited: