Kwa mahitaji ya ujenzi wa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone njoo hapa

Kwa mahitaji ya ujenzi wa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone njoo hapa

yousaw

Senior Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
160
Reaction score
128
Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone kwa gharama nafuu na kwa kazi safi, inayodumu na usalama wa mali zako tuwasiliane kupitia no; 0782369491 au
what'sApp 0654121218 kwa picha zaidi za kazi zetu.
Tujenge pamoja.
YOU ARE FRIENDLY WELCOMED 🎈
 
Tangazo lako halisemi uko wapi, watu hatuhitaji kusafirisha mafundi sisi na kuongeza ghalama za ujenzi
 
Hivi hizi wooden floor tiles zipo mijini humu?
The Tiles I Need & Frames za Milango Sebuleni & Dining.JPG
 
Habari mkuu, naomba kujua bei za tiles kwa box

1: 50x50
2: 40x40
3: 25×40

Asante
 
Habari mkuu, naomba kujua bei za tiles kwa box

1: 50x50
2: 40x40
3: 25×40

Asante
Kampuni zipo nyingi na bei tofauti pia, labda ningejua uko mkoa gan na unataka tiles za nje ya nchi au za hapahapa kwa mama?
 
Kuna tiles za India, Spain, china, Tanzania etc na bei zao ni tofauti tofauti.
 
Tiles za Spain na india ni nzuri sana na hazina madaraja pia mchina ana tiles nzuri ila zina madaraja zile za daraja la juu ambazo ni bei sana ndo nzuri na bora za bei ya chini zina ubora wa chini.
 
Back
Top Bottom