Ndio zipo mkuu!Hivi hizi wooden floor tiles zipo mijini humu?
View attachment 1922659
Kweli nimeziona kwenye website ya CTMNdio zipo mkuu!
Una charge bei gani kwa sq M ?Mimi ni fundi mkuu!
Zipi ni nzuri zaidi kati ya hizo?Kuna tiles za India, Spain, china, Tanzania etc na bei zao ni tofauti tofauti.
4500/sqm mkuu
Nami nasubiri jibuZipi ni nzuri zaidi kati ya hizo?