Kwa mahitaji ya ujenzi wa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone njoo hapa

Habari za majukumu wakuu?

Kama heading inavyojieleza kwa yeyote mwenye mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, tanga stone, Mable, mosaic na paving blocks kwa gharama nafuu, ubora, usalama wa mali zako, uaminifu na kwa mitindo tofauti tofauti inayokwenda na wakati karibu kwetu tukufanyie kazi isiochosha machoni,
Wasiliana nasi kwa simu no:
0782-369491.
What's App no; 0654-121218.
Au baru pepe; yusuphmlawa91@gmail.com.
PIA waweza tembelea kurasa ya tilesengineering plus iliyoko Facebook kuona kazi zetu zaidi.
Nimeambatanisha baadhi ya picha za kazi zetu hapa chini.
"KARIBU TUJENGE PAMOJA"


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…