Yasser Kagire
Member
- Apr 12, 2013
- 31
- 21
[emoji1] [emoji1] acha utani mkuu, Mars tena!!.? Sisi tunapatikana Dar Es Salaam.Huduma inafika popote? Acha masihara chief. Hebu taja upo mkoa gani.
Maana naweza kufanyia harusi yangu katika sayari ya Mars sasa sijui kama huko mnaweza kuja kupika au kuleta huduma!
Ni wewe tu mkuu maana kila kitu lazma uangalie maslahi kwanza.Kama nataka anipikie nyumbani Mimi mwenyewe vipi? Huduma hivyo ipo
Samahani sana kwa kusahau jambo hilo muhimu.. Tupo Chamazi Dar Es SalaamSawa tangazo ni vizuri useme na location ya ofisi zenu.
Mimi tuNi wewe tu mkuu maana kila kitu lazma uangalie maslahi kwanza.