TWAHE WORK SHOP
Wana JF natumai muwazima wa Afya
Napenda kuwatangazia kua work shop yetu inajishuhulisha na kutengeneza milango ya mageti kama ya nyumba au ktk maduka pia tunatengeneza milango ya rola shata na kuezeka magodauni na kufanya ripea kwa yale yanayohitaka
Ukihisi na kuhitaji kufahamu zaidi PM namba yako ili tuwasiliane au tuma ujumbe ktk 0777433260