Kwa majibu haya ya Hanspope, Simba daini pesa zenu kwa Mavugo maana maigizo yameendelea

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wangapii wamemsikia mh wetu wa usajili kwa matopeni akihojiwa NA efm

Ameulizwa vipi kelele za mavugo NA vitaloo anasema anashangaa sana wale jamaa wanatakaa tukyleta shida zaoo kiukweli

*"""MAVUGO HAKUWA NA MKATABA NA VITALO ALIKUWA NA MKATABA NA RAISI WA VITALO *"" NA NDIE TULIEMALIZANA NAE
KHE

MAKUBWAA SUBIRINI MENGI YANAKUJA.....USHAURI

WANASIMBA DAINI MKATABA WA MAVUGO VS VITALO HADHARANI ANGALIENI MDA WA KUEXP .........

ACHENI KUDANGANYWA KAMA YALIOTOKEA HUKO NYUMA WATUWASHAVUTA HAPO
 
Mpwaaaa daudi umeonaa list ya vitalooooooo
 
Watàmkumbuka wamburaaa
 
Timu ya wezi akina christopher Alex (rip) na gari la jeshi na viongozi wezi na wahaini,hakuna kitu hapo.
 
Viongozi wa simba ni wababaishaji kweli kweli, mchezaji kama mavugo asiwe na mkataba wa kueleweka na vitaloo? Tatizo simba imezoea dhuluma, sheria za usajili za kimataifa zinasemaje? Simba wakileta ujuaji watakiona
 
1470893384619.jpg
 
Slope zinawaponza ndiomaana hatakwenye usajili walisubiria wapepesa NA Yanga zakessy ndio wasajili kina mavuz
 
Wangapii wamemsikia mh wetu wa usajili kwa matopeni akihojiwa NA efm

Ameulizwa vipi kelele za mavugo NA vitaloo anasema anashangaa sana wale jamaa wanatakaa tukyleta shida zaoo kiukweli

*"""MAVUGO HAKUWA NA MKATABA NA VITALO ALIKUWA NA MKATABA NA RAISI WA VITALO *"" NA NDIE TULIEMALIZANA NAE
KHE

MAKUBWAA SUBIRINI MENGI YANAKUJA.....USHAURI

WANASIMBA DAINI MKATABA WA MAVUGO VS VITALO HADHARANI ANGALIENI MDA WA KUEXP .........

ACHENI KUDANGANYWA KAMA YALIOTOKEA HUKO NYUMA WATUWASHAVUTA HAPO
Utakuwa Ndala FC tuu wew,,,,
Hamjawah kuwaza ipasavyo....
Tumeshawazoea,,,,
Mnaacha kujadl mambo ya kukodisha timu yenu
Mnajadl mambo ya Simba,,,,
We yanakuhusu nn....
Mapovu tuuuu....
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]
 
Lakini si vibaya mkaliangalia hili,maana anayekutaadharisha ni m'bora kwako kuliko anayekuacha ukapotea.
1470897465245-jpg.379487
 
Kwan Mavugo mwnyw hajui km ana mkaba Vital O'???
Kwann aje kusign Simba,,,,???
Na unafaham Mavugo ametokea wap kabla ya kuja Simba,,,???
Na unajua kwnn Mavugo alshndwa kusign Simba mwaka Jana lkn mwaka huu kasign.....
Ukpata majb ya maswal hayo utajua nan ana logic kweny swala la Mavugo na n nan mmilik halal wa Mavugo kat ya Simba na Vital O'
 
MBOOONA Mimbaa watazaamapachaa
UNATAKA KUJUA MMILIKI WA MAVUGO

NENDA RADIO ONE OMBA MAWASIALIANO YA JANA KATIYA BOSI MKUBWA HH NA REDIOONE ALIPOJIBU SWALI LA USAJILI WANMAVUZ
 
Yanga jadilini timu yenu! Mavugo hatocheza peke yake simba,nini kinawawasha nyie? Hata bila Mavugo tutacheza ligi,nyie vip?
 
Back
Top Bottom