Slope zinawaponza ndiomaana hatakwenye usajili walisubiria wapepesa NA Yanga zakessy ndio wasajili kina mavuzViongozi wa simba ni wababaishaji kweli kweli, mchezaji kama mavugo asiwe na mkataba wa kueleweka na vitaloo? Tatizo simba imezoea dhuluma, sheria za usajili za kimataifa zinasemaje? Simba wakileta ujuaji watakiona
Takbiiiiiiiir
Timu ya wezi akina christopher Alex (rip) na gari la jeshi na viongozi wezi na wahaini,hakuna kitu hapo.
Utakuwa Ndala FC tuu wew,,,,Wangapii wamemsikia mh wetu wa usajili kwa matopeni akihojiwa NA efm
Ameulizwa vipi kelele za mavugo NA vitaloo anasema anashangaa sana wale jamaa wanatakaa tukyleta shida zaoo kiukweli
*"""MAVUGO HAKUWA NA MKATABA NA VITALO ALIKUWA NA MKATABA NA RAISI WA VITALO *"" NA NDIE TULIEMALIZANA NAE
KHE
MAKUBWAA SUBIRINI MENGI YANAKUJA.....USHAURI
WANASIMBA DAINI MKATABA WA MAVUGO VS VITALO HADHARANI ANGALIENI MDA WA KUEXP .........
ACHENI KUDANGANYWA KAMA YALIOTOKEA HUKO NYUMA WATUWASHAVUTA HAPO
Lakini si vibaya mkaliangalia hili,maana anayekutaadharisha ni m'bora kwako kuliko anayekuacha ukapotea.Utakuwa Ndala FC tuu wew,,,,
Hamjawah kuwaza ipasavyo....
Tumeshawazoea,,,,
Mnaacha kujadl mambo ya kukodisha timu yenu
Mnajadl mambo ya Simba,,,,
We yanakuhusu nn....
Mapovu tuuuu....
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]
Kwanza me ndo nawashangaa,,,,Mbona wapiga kelele ni Yanga
Ushaambiwa wa matopeni wanachukua masaa 78 kuelewa. Wasubirie labda kesho kutwaa.[emoji121] [emoji121]Mbona wapiga kelele ni Yanga
MBOOONA Mimbaa watazaamapachaaKwan Mavugo mwnyw hajui km ana mkaba Vital O'???
Kwann aje kusign Simba,,,,???
Na unafaham Mavugo ametokea wap kabla ya kuja Simba,,,???
Na unajua kwnn Mavugo alshndwa kusign Simba mwaka Jana lkn mwaka huu kasign.....
Ukpata majb ya maswal hayo utajua nan ana logic kweny swala la Mavugo na n nan mmilik halal wa Mavugo kat ya Simba na Vital O'