Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Vijana wengi wanatazama tv si kwa lengo la kupata elimu na habari muhimu, bali wanatazama kuiga mambo. Mf anatazama maigizo anajifunza kuharibikiwa maadili kama binti mdogo anaiga majibu ya hovyo, nyodo, namna gani ajibaraguze anapotongozwa, kusema hovyo akiumizwa na kuchamba, kijana wa kiume anaiga wanavyotongoza, wanavyomuadhibu mwanamke.
Ndiyo mana vijana wadogo wanamajibu makubwa tofauti na umri wao na hawajibu kwa tafakari halisi wanajibu kwa mwongozo wa tamthilia.wanaishi kea picha kubwa ya mabo kuliko uhalisia Naonya hili linawaangamiza. Vijana na watu wa vijijini wasiyo na tv wanatofauti kubwa kitabia kuliko hawa vijana wa mijini wanaoshinda kutazama tamthilia.