Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Uchaguzi wa hivi karibuni ndani ya Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) umekamilika, lakini umeibua maswali mengi—hasa kuhusu uwakilishi mdogo wa wanawake katika ngazi za juu za uongozi wa chama.
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanaeleza kwamba kukosekana kwa kanuni na miongozo madhubuti katika katiba za vyama vya siasa ndiko kunakochangia pengo hili la kijinsia.
Je, ni hatua zipi zinaweza kuchukuliwa ili kuhakikisha uwakilishi wa wanawake unaongezeka katika ngazi za juu za uongozi ndani ya vyama vya siasa nchini Tanzania?
-------------------------------------------
DW nimewavua vyeo vyote hamna tofauti na BCC na CNN habari zenu za kinafki sana. Pengo la kijinsia lingeleta tofauti gani? Na sio ajabu kuona mkionesha tofauti hizi ilihali ndani ya nchi yenu kuna vyama kibao vina mapengo ya kijinsia. Ama mlitaka mwanamke ndo awe mwenyekiti wa CHADEMA?
SHAME ON YOU DW!