Kwa makampuni au shirika lolote

Kwa makampuni au shirika lolote

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Habarini wakuu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu
Arusha IAA nasomea Bachelor Degree of
Economics and Finance mwaka wa kwanza
kwenda wa pili.
Kwa sasa hivi tupo likizo ya takriban miezi
mitatu hivyo bas Ombi langu kubwa ni kupata
sehemu yeyote, shirika ama kampuni yoyote
ambayo ntaweza kufanya kazi kwa kujitolea
yani bila malipo kwa mudaa huu ambao
ntakua likizo.Kama kuna mtu anaweza kusaidia
tafadhali ntashukuru sana.
ASANTENI
+255714478797
 
Back
Top Bottom