Kwa makosa haya sioni kama Sheik Ponda ana kesi

Wimana

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
2,449
Reaction score
718
Wadau, nimesoma kwenye MWANANCHI leo trh 20 Augosti kwamba Sheikh Ponda amefikishwa Mahakamani Morogoro na kusomewa mashitaka ya uchochezi. Makosa hayo ni;
1. kuwashawishi Waislamu wasikubali kuunda Kamati za Ulinzi za Misikiti.
2.Kuwaambia Waislamu kuwa Serikali ilipeleka Jeshi Mtwara kuwaua, kuwabaka na kuwatesa Wananchi wa huko ambao wengi wao ni Waislamu.
3. Shitaka la tatu linafanana na la 2, ambalo kwa maneno hayo aliwaumiza watu wa imani nyingine.

Mimi si mwanasheria lkn kosa namba 1 sioni alichochea nini kwa kuwataka Waislamu kukutaa Kamati za ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…