Kwa maneno machache Bujibuji amchambua MSICHANA

Hahaaa kumbe mie nilikuwa mwanamke moja kwa moja...

Sikuwahi kutoroka usiku ila ilijulikana niko chuo kumbee nimelala ghetto.
Na ikiwa siko chuo, nilikuwa nasema, nikichelewa kurudi nyumbani mama atanigombeza... Sikupenda mama yangu akasirike sababu ya mimi kuchelewa kurudi nyumbani.
 
Msichana ni Naniii...

Msichana ni mtu ambaye anaweza kutoroka kwaoo saa sita usiku akaenda kwa boyfriend wake ... Ila kwenda chooni saa mbili usiku anaogopa kisaa kuna gizaa
hapana chezea utamu wa dudu yangu lazima atoroke tu mamaeee
 
Msichana ni yule ambae yeye bila pesa haishi na hupima thamani ya mwanaume kwa pesa alizo Nazo..
 
Pia anaweza kutanua miguu mpaka nyuzi 180 (straight line) wakati wa mgegedo lkn hawezi kuruka kimtaro kidogo.excuse my language
aisee sawa na kuogopa mende ilihali mikurungu wanayokalia inalingana na nyoka aina ya kifutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…