Kwa mantiki ya kisheria DC Kihongosi amekosea, lakini kwa mantiki ya kiuwajibikaji yuko sahihi

Aisee wewe jamaa hujielewi unaita viboko kuwa adhabu ya kikatili ?
Swali la msingi hapo ni sahihi mkuu wa wilaya kuwachapa viboko watu wazima kinyume na sheria za nchi?
 
Hivi mwanaume na mbupuma zako unachapwaje na mwanaume mwenzako!
 
Huyu mpumbavu bado yupo kwenye uongozi tu? Unajua unapomwadhibu mtuhumiwa Ina maana umeinyima Uhuru wa kipekee Mahakama kuweza kusimamia haki ya pande zote mbili.

Kwenye criminology tunasema, no one can be punished twice for the same offense.

Ukiangalia hapo, DC alijipa Mamlaka ya Mahakama wakati Hana hayo Mamlaka kisheria yaani ameinyima Mahakama haki yake ya kusikiliza kesi na kutoa uamuzí kwa ajili ya kutenda haki. Kimsingi nimeshindwa kuelewa kwa nini hata mahakama haikutoa tamko.

Mahakama inapaswa kuwa na wivu wa haki zake na endapo mtu atataka kuchukua haki hiyo ni lazima Mahakama ikemee Mara moja.
 
Wale ni wezi wa "ungalimi" full stop. Tena wanatuharibia vijana wetu KWA kuwafundisha wizi na kilosa uzalendo. Katika mazingira yale mkuu ilibidi kama salami KWA wezi wengine. Naifahamu Arusha vizuri. Hutakaa usikie wizi wa madawati Tena. Na wale wanafunzi hawatakaa waibe waala watumwe na yeyote.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…