ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Binafsi Huwa nashindwa kuelewa hii Nchi inavyoweka na kuratibu mipango yake.
Kwamba inakuaje tuwe na utitiri wa Wawakilishi wa Kisiasa ambao ni Wabunge badala ya kugawa maeneo ya kutawala Ili kuongeza ufanisi na kusogeza Huduma Kwa Wananchi Kwa njia ya kuwa na eneo dogo la Utawala?
Uzoefu unaonesha eneo la utawala.lokiwa dogo Wananchi wanapata Huduma kirahisi hata Nchi ndogo Kwa eneo zimeendelea zaidi kuliko Nchi kubwa kieneo.
Sasa unapoona Serikali inakataa kuongeza maeneo ya Utawala badala yake inaongezwa maeneo ya Kisiasa sijui Huwa inalenga kiti gani kama sio ulafi wa Wanasiasa.
View: https://x.com/millardayo/status/1900560287368966449?t=KthgtDrNnJ4EnUIjrgyx_w&s=19
Kuwa na Majimbo mengi hakuongezi chochote kwenye maendeleo ya Wananchi badala yake kunamuongezea mzigo wa kulipa Kodi mtu ambae hana faida au hata asipokuwepo hakuna hasara.
Natamani Rais mwingine akija afute huu utitiri wa Wabunge .Bunge la Tanzania Lina zaidi ya Wabunge 300 Sasa hao wengine wanataka kuongezwa wa nini? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DHLsmitMrWy/?igsh=MTc2Mnc0aHBqNHVsMQ==
My Take
Wanasiasa wanakera sana ndio maana Huwa nawapuuza.Hao watu ni wabinafsi na waroho wa madaraka na wezi wa Mali za Umma.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DHJe7mWMYQn/?igsh=ZDQ1MG9vZ29oZTdl