uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Mnyonge mnyongeni ila Azam kwa hii bei na mifumo ya kikodi ya nchi yetu, gharama za uendeshaji hasa ukizingatia dollar ilivyo juu mimi naona malipo ya 910 per day sio mbaya.
Kwa wale wenye mabanda watapiga hela zaidi.
Ifahamike kuwa la Liga msimu huu ni Kali zaidi, Bundesliga huwa ni Kali kama kawaida.
Tusisahau na carabao.
Kwa wale wenye mabanda watapiga hela zaidi.
Ifahamike kuwa la Liga msimu huu ni Kali zaidi, Bundesliga huwa ni Kali kama kawaida.
Tusisahau na carabao.