Kwa maoni yangu, neno Tanzia linatumika vibaya!

Kwa maoni yangu, neno Tanzia linatumika vibaya!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Hivi muzungu anakufa USA au sijui Iceland halafu tunaandika tanzia, hivi ni sawa kweli?
Mimi kwangu haiji, naona kama tanzia inafaa mtu wetu wa karibu hapa nyumbani TZ lkn siyo mtu aliyekufa Mexiko huko halafu tunaandika tanzia, au sijui labda Mwanamziki wa USA akifa tunaandika tanzia, hilo ni sawa kweli?
 
Kwani mkuu Barbarosa hairuhusiwi kutoa taarifa za kifo cha mtu wa marekani? Au hoja yako ni kwamba mtoa taarifa wa hapa anakuwa naye kapewa taarifa za kifo hicho? Kwahiyo kwa mujibu wako hairuhusiwi kutoa taarifa ya taarifa ya kifo.
 
Hivi muzungu anakufa USA au sijui Iceland halafu tunaandika tanzia, hivi ni sawa kweli?
Mimi kwangu haiji, naona kama tanzia inafaa mtu wetu wa karibu hapa nyumbani TZ lkn siyo mtu aliyekufa Mexiko huko halafu tunaandika tanzia, au sijui labda Mwanamziki wa USA akifa tunaandika tanzia, hilo ni sawa kweli?
Una maana Tanzia kama hii
8669f4a4c97b770385d5a0fa12b145b6.jpg
 
Kwani mkuu Barbarosa huwezi kutoa taarifa za kifo cha mtu wa marekani? Au hoja yako ni kwamba mtoa taarifa wa hapa anakuwa naye kapewa taarifa za kifo hicho? Kwahiyo kwa mujibu wako hairuhusiwi kutoa taarifa ya taarifa ya kifo.

Sijua man, lkn kwangu kwa mfano mtu akiniambia tanzia Michael jackson kafariki haiji yaani au sijui tanzia labda Jackie chan kafariki, naona kama haifiti yaani, kama nilivyosema sijui lkn kwangu imekaa kushoto!
 
Back
Top Bottom