Naomba nijaribu mkuu.Hivi kingereza cha tanzia ni nini ?
Una maana Tanzia kama hiiHivi muzungu anakufa USA au sijui Iceland halafu tunaandika tanzia, hivi ni sawa kweli?
Mimi kwangu haiji, naona kama tanzia inafaa mtu wetu wa karibu hapa nyumbani TZ lkn siyo mtu aliyekufa Mexiko huko halafu tunaandika tanzia, au sijui labda Mwanamziki wa USA akifa tunaandika tanzia, hilo ni sawa kweli?
Kwani mkuu Barbarosa huwezi kutoa taarifa za kifo cha mtu wa marekani? Au hoja yako ni kwamba mtoa taarifa wa hapa anakuwa naye kapewa taarifa za kifo hicho? Kwahiyo kwa mujibu wako hairuhusiwi kutoa taarifa ya taarifa ya kifo.