Kwa mapishi najiamini

Kwa mapishi najiamini

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,585
Reaction score
498
keki 2.jpgkeki 2.jpgkeki 2.jpgkeki 2.jpg

Bado najifunza kupika keki hasa upambaji.
Hii ni keki yangu ya kwanza kabisa niliyopika na kuipamba mwenyewe.
Sasa hivi najua kupika flavour mbalimbali na kupamba zaidi ya hapa.
Sina mpango wa kufanya biashara ya keki hivyo nikizipika nagawa kwa rafiki zangu wenye birthday.
 
Kwanini? Fanya utoe upinzani kwa The Flying Chef (Mama Tambaza)

hatua niliyofikia naweza kumfunika sema tu kuandaa keki kuna hitaji muda na ubunifu ili kila siku utoe style mpya mpya hivyo bei watakayonilipa sitaridhika kwa muda na akili niliyoumiza kubuni urembo wa maana hivyo bora tu niendelee kufanya kama hobby tu.
 
Unatudanganya mara unataka utengeneze uuze mara nigawe kwa rafiki zangu tukuelewe je sasa

wapi nimesema nataka kuuza?nina kipato kinatosha kukununua hadi wewe kwa hiyo sina shida yakuuza keki.
 
hatua niliyofikia naweza kumfunika sema tu kuandaa keki kuna hitaji muda na ubunifu ili kila siku utoe style mpya mpya hivyo bei watakayonilipa sitaridhika kwa muda na akili niliyoumiza kubuni urembo wa maana hivyo bora tu niendelee kufanya kama hobby tu.

Keep it up!
 
are you serious?dada naomba unitengenezee cake ya kumpa mpenzi wangu,nitalipia gharama zote(maana cake imekuwa cake).
wapi nimesema nataka kuuza?nina kipato kinatosha kukununua hadi wewe kwa hiyo sina shida yakuuza keki.
 
Back
Top Bottom