Kwa mapokezi haya hakuna ubishi Simba ndio Brand Kubwa Tanzania kuliko timu yoyote ile...

Big brand kwa vigezo vipi? Baada ya kutolewa na kale ka timu sasa wametafuta kichaka cha kujifariji! Nilikuwa siamini kama mashabiki wa Simba ni mambumbu ...............! Na viongozi wao Wanawajulia sana
Mambumbu ndio nini? kama sio umbumbumbu huo ni nini?
 
Sio kweli, ukisema kuwa ni club kongwe sawa lakini kwa timu bado sana kwa sababu mwaka wa ngapi hawashiriki mashindano ya kimataifa?
Mkuu, acha wajifariji. Hapo roho zao kwatu. Kombe na Hasa VPL watavisikia redioni tu. Labda waibe!
 
Mohamed Dewji ameshindwa kuijenga timu ameanza kununua waendesha boda boda kutafuta kick kwa mbu mbu mbu wa msimbazi
 
Huu ni uthibitisho kwamba Simba ni Big brand...hapa wamepokelewa kuanzia kilwa mpaka mtwara....
Mkifungwa msiwakatie rufaa Green Warriors. Maana mko busy na kuuza sura badala ya kujiandaa na match.
 
Kwani hao yanga wenye kombe wameongezeka nini?
Kupata fedha nyingi zaidi za zawadi ya ushindi, kushiriki mara nyingi zaidi mashindano ya klabu za Afrika na kwa hivyo kuonekana/kujulikana zaidi nje ya mipaka ya Tanzania, kupata washabiki zaidi ilivyokuwa kimaumbile ushindi huvuta watu pamoja, wadau kuwa na furaha zaidi kuliko wa timu nyengine, kukubaliwa zaidi na wanafamilia ya Soka nchini na duniani, kuvutia zaidi wadhamini na kwa fedha nyingi zaidi, sauti zaidi mbele ya Uongozi wa Soka nchini na duniani, ........ rufaa kidogo zaidi kwenda FIFA.....!
 
Simba ni brand kubwa...haijalishi mtaponda au mtatoa povu.
That's it...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…