Kwa mapokezi haya hakuna ubishi Simba ndio Brand Kubwa Tanzania kuliko timu yoyote ile...

Hapo pa rufaa
 
Big brand kwa vigezo vipi? Baada ya kutolewa na kale ka timu sasa wametafuta kichaka cha kujifariji! Nilikuwa siamini kama mashabiki wa Simba ni mambumbu ...............! Na viongozi wao Wanawajulia sana

Manchester United imetolewa na katimu kadogo, inamaana brand yake imeshuka? Tyson alipigwa mara saba, Lewis alipigwa mara mbili kati ya hayo majina mawili lipi ni brand kubwa?
 
2020 tunashiriki Club bingwa kidunia. Mo namuaminia!msimu ujao usajiri kama wa TP Mazembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…