Kwa mapungufu haya Simba kaeni chonjo, vinginevyo...

Hebu tukumbushane rekodi [nzuri] za ushindi wa Simba

*1978:* Simba 1—8 Enyimba
*1980:* Al Ahly 9—0 Simba
*1984:* Petle Atletico de Angola 6—0 Simba
*1989:* Simba 2—8 Solfa ya Gabon
*1991:* Yanga 4 —0 Simba. Simba hawakurudi second half
*1996:* All Hilaly 5—0 Simba
*1999:* Sesco 4—0 Simba
*2005:* Simba 0—4 Enyimba
*2007:* Enyimba 5—0 Simba
*2012:* Liboro de Angola 5—0 Simba
*2019:* As vita 5—0 Simba

5/5.
 
sio kweli alisema kabla ya mechi ya warabu.mechi ilivyoisha akajificha kwa mamaake
Mkuu, uongo au ukweli wa Shafii utajulikana baada ya mechi za makundi kuisha. Sasa hivi kila mtu ataongea kiushabiki zaidi.
 
Mkuu nimekuelewa! Simba lazima wabadilike na wayaheshimu haya mashindano wasiyachukulie poa na lazima wajipange vizuri kwa mechi zijazo kama wana ndoto za kufika mbele.
 
Kwa maoni yangu,

Udhaifu mkubwa kwa timu yangu ya simba ni ktk suala zima la kukaba na kucheza mipira ya kona na faulo. Walinzi wanakabia macho sana na wanawaacha mafoward wa upinzani kuruka free headers bila hata kuwapa kashkash.Kwingine kote kunarekebishika na ndio maana hata ball possession FT walikuwa wapo juu ya VITA.

Kocha akifanyia kazi madhaifu hayo,timu itafika mbali.
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…