Kwa mara nyingine Bill Gates ndiye tajiri namba moja duniani

Kwa mara nyingine Bill Gates ndiye tajiri namba moja duniani

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Baada ya kuwekwa benchi since 2007 kama tajiri namba moja duniani,Founder wa Microsoft corporation
Bill Gates amerudi tena kwenye namba yake,namba iliyokuwa ikishikiliwa na billionea wa Mexico,Carllos Slim
Kwa mujibu wa Bloomberg Billionaires Index,mabadiriko haya yamekuja baada ya utajiri wa Gates kuongezeka kwa asilimia 16% na Carllos kushuka kwa 14%
kwa sasa Gates atakuwa akiongoza matajiri wa dunia kwa utajiri wa $72.7billion.
 
Ni kweli lakini hayatuhusu, wengine hata kulipa ada za watoto ni kwa mbinde sasa itakuwa ni ushetwani kushabikia utajili wa mtu na ulofa huu nilionao.
 
kwenda zako na utajiri wake unapata faida gani hayatuhusu.. wengine hata chakula hatujui tutakula nn
 
du sasa hawa jamaa wanamapesa kibao individually sidhani kama kuna haja ya kuyatangaza aisee.....
 
ni kweli lakini hayatuhusu, wengine hata kulipa ada za watoto ni kwa mbinde sasa itakuwa ni ushetwani kushabikia utajili wa mtu na ulofa huu nilionao.

mwenzio hapa nataka kupitisha spread sheet kwa ajili ya skull fees ya mtoto wangu
naona mnachangia harusi tu
 
Hamna noma, yeye ni TAJIRI KULIKO WOTE, na mimi ni MASIKINI Kuliko Wote...

Cha Msingi Tuheshimiane Tu.
 
Back
Top Bottom