Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
kwenda zako na utajiri wake unapata faida gani hayatuhusu.. wengine hata chakula hatujui tutakula nn
Ni kweli lakini hayatuhusu, wengine hata kulipa ada za watoto ni kwa mbinde sasa itakuwa ni ushetwani kushabikia utajili wa mtu na ulofa huu nilionao.[/QUO ah aende zake huko
can somebody give me the contact of this guy??
ni kweli lakini hayatuhusu, wengine hata kulipa ada za watoto ni kwa mbinde sasa itakuwa ni ushetwani kushabikia utajili wa mtu na ulofa huu nilionao.
Mimi this term nimebanwa nimeamua kulipa kwa installment plan.mwenzio hapa nataka kupitisha spread sheet kwa ajili ya skull fees ya mtoto wangu
naona mnachangia harusi tu