Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,933
- 988
Kwa mara nyingine tena mtu mweusi anapowika katika michezo,huyu ni Chirs Ngimbi(wenyewe wanatamka "Chris nagimbi" mwenye asili ya Congo, kaibuka kwa kasi katika mchezo wa Kick boxing. Tuliwafahamu wakina Mohamed Ali, Pele, Tyson, Lenox lewis,Wiliam's daughters( Venus and...), Joseph Kaseba na Selasie etc.......list ni ndefu waweza kuimalizia mwenyewe.
Huyu bwana mdogo anakasi kubwa katika kupigana. Pia ni mjuzi wa kutumia 'combination techniques' yaani kupiga ngumi, teke na 'kifuti' kwa upesi. Nimempenda sytle zake.
Angalia hapa jinsi alivyo mchakaza mtu kwa TKO www.mixfight.nl/forum/showthread.php?98429-Mixfight-interview-Chris-Ngimbi-(Siam-Gym-Black-Label)