Kwa mara ya kwanza Dulla planet Aachia Wimbo wake

Kwa mara ya kwanza Dulla planet Aachia Wimbo wake

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mtangazaji wa kituo cha redio cha East Africa Radio kwa zaidi ya miaka 13 akitambulika hasa katika kipindi cha Planet Bongo, Abdalah Ambua a.k.a Dulla planet Ambua ameachia wimbo wake wa kwanza kwa jina la Unaendaje

Wimbo wake ameuchia leo na mara ya kwanza umepigwa kwenye kipindi cha planet Bongo cha EA Radio.
Huyo ndiye Dulla planet Ambua, MC nà mtangazaji wa EAST AFRIKA REDIO
 
Back
Top Bottom