Kwa mara ya kwanza imethibitika kuwa chanzo cha HIV ni Sokwe

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,109

Wasiwasi wangu ni kuwa hawa jamaa sasa wanataka kuthibitisha theory zao kuwa chanzo cha HIV ni Africa, wamemtumia dada wa Kicameroon kuonesha matokeo ya utafiti wao huo. Ila huenda ugunduzi huu utakuwa ni chanzo cha safari ya kupata, tiba + kinga ya HIV-AIDS.
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…