Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Unapowadharau wapiga kura wako mwaka nenda mwaka rudi, Unapolewa madaraka na kuwa na kiburi na hata kuwakejeli waoiga kura wako. Unapotoa ahadi za uwongo ili kuchaguliwa tena wakati zile zilizopita hukuzitimiza matokeo yake ndiyo kama hivi. Bado kuna safari ndefu mpaka matokeo yote na naamini kabisa nchi italipuka kwa furaha kubwa pale itakapothibitishwa kwamba Watanzania tumempiga mweleka Mkwere,πeace:πeace:πeace: