Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya.
Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi kuamini kama Malasusa anaweza kuikemea Serikali ya CCM.
Nikipata nakala nitaiweka hapa
Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi kuamini kama Malasusa anaweza kuikemea Serikali ya CCM.
Nikipata nakala nitaiweka hapa