Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kupendwa siyo kusifia tu MkubwaMalasusa hajawahi ipenda CCM, moyoni mwake
Penye ukweli, uongo hujitenga😀Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya.
Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi kuamini kama Malasusa anaweza kuikemea Serikali ya CCM.
Nikipata nakala nitaiweka hapa
Naam tutawaombea sana tuMakonda anasema muombe tu, msiandike waraka!
SijuiWalisema RC Makonda amewalenga Katoliki 😂
Sijasema hivyo,naomba usome vizurisiyo suala la kuipenda au kuichukia CCM, anakemea maomba maovu.
Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi kuamini kama Malasusa anaweza kuikemea Serikali ya CCM.
Sema "haki ya Mungu" manake Malasusa hakika hawezi kuruhusu hiyo kitu.Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya.
Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi kuamini kama Malasusa anaweza kuikemea Serikali ya CCM.
Nikipata nakala nitaiweka hapa
Usiwe mfuasi wa majungu, hasa yale ya Lema dhidi ya Askofu Malasusa.Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya.
Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi kuamini kama Malasusa anaweza kuikemea Serikali ya CCM.
Nikipata nakala nitaiweka hapa
SawaUsiwe mfuasi wa majungu, hasa yale ya Lema dhidi ya Askofu Makasusa.
Amtegemeaye binadamu amelaania.