William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
udhamini umeisha?
Nataka nijitose
Na je, sie uliotupa ofa yako party ya Insta tutaingia bure?
- Udhamini upo ila sio chini ya Shillingi Millioni Moja, ukumbi huku ni USD $ 12,000 so for sure hamna bure huku wala Complimentary kiingilio kimoja kwa wote Elfu HAmsini tu!!
Le Mutuz
kumbe rahisi hivi, nilidhani bilioni.
Kumbe vichenchi tu.
Na ww Le Zeros ni m1 ya wadhamini?
mdogo mdogo ninaanza kukuelewa U know?