Kwa mara ya kwanza nashawishika ku-bet

Trinity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
1,828
Reaction score
3,508
Aisee Kwa uchezaji wa Al ahaly ule naamin asilimia 100 marudiano Simba lazima ashinde kutokana na sababu zifuatazo;

1. Kiwango walichoonesha Al ahaly ni kidogo ukilinganisha na Simba pamoja na kwamba wamebahatisha goli.

2. Simba itafanya mazoezi magumu/bidii ili wajikwamue wakati huo wapinzani watabweteka wakiamini kwao ushindi ni lazima.

3. Goli moja walilo mfunga Simba ni rahisi kurudisha kuliko wangefungwa zaidi.

4. Mabadiriko atakayo yafanya kocha wa Simba yatazaa matunda tofauti na kikosi alicho kianzisha leo, mfano unamuwekaje Savio 4ward Kwa majaribio kwenye mchezo muhimu kama huu? Naamin next game kocha hawezi kurudia makosa.

Nitaweka dau la elfu laki moja (100,000) naamin mhindi atatoa odds kubwa kwa Simba akihisi ni kibonde kumbe sivyo.! Nitaweka timu moja tuuu.

Japokuwa mpira siujui wala sifuatilii lkn naona muujiza ambao wengine hawawezi ona.!!
 
Nitahakikisha naweka hapa mkeka wa ushindi,
 
Unadhani Al-ahly ni majimaji ya Songea??
 
Simba hii hii ya hakina Mzee Saido, Mzee
Kibu ama kuna Simba nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…