Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mgeni na baada ya kupitia terms & conditions za JF now nawasikiliza ninyi kunipa vigezo vyenu binafsi.
Mungu gani?Humu jf kuna kila aina ya watu, wapo pia wanaopinga Mungu hivyo uwe muangalifu.
Karibu sana.
Umejuaje? Kila mtu mungu anayemuamini ndo Mungu halafu wengine walobaki anawaita miungu...kwahyo hata Mungu wako kwangu anaweza kuwa miungu ndomana nkataka kujua unazungumzia Mungu yupiMngurimi unaona?? [emoji1787] huo ni uthibitisho kwamba kuna watu pia wanaamini Miungu, sasa wanataka kujua ni Mungu yupi ninayemzungumzia.
Cute Rebeca 83 hujalala tuu mrembo!karibu mkuu
Umejuaje? Kila mtu mungu anayemuamini ndo Mungu halafu wengine walobaki anawaita miungu...kwahyo hata Mungu wako kwangu anaweza kuwa miungu ndomana nkataka kujua unazungumzia Mungu yupi
Nawajua sana coz experience yangu kwa JF ni almost 11 years
Mungu wa kweli ni Yule aliyekupa jinsia uliyonayo bila ya wazazi wako au wewe mwenyewe kujipangia uwe na jinsia uwe na jinsia ipi.
Hongera na Karibu JFMimi ni mgeni na baada ya kupitia terms & conditions za JF now nawasikiliza ninyi kunipa vigezo vyenu binafsi.
jinsia inapatikana wakati wa kutafuta mtoto niwasilishe