[emoji44][emoji848][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngurimi huyu ndiye Mshana jr, bila shaka utakuwa unamjua, kwakuwa kakukaribisha basi mambo yako yatakuwa safi humu ndani, basi wewe ujimwambafai bila khofu, kauli yake ya kukukaribisha imebeba ZINDIKO.[emoji1787]
haya mgeni.Mimi ni mgeni na baada ya kupitia terms & conditions za JF now nawasikiliza ninyi kunipa vigezo vyenu binafsi.