Kwa mara ya kwanza nitajifungia kuwaombea watani (yanga SC) wabebe kombe la asfc Ili Simba SC tucheze cafcc

Simba atacheza champions league africa hata yanga waweje,simba alishajitengenezea mazingira mwenyewe
 
Sijaelewa mantiki ya uzi wako ilihali mshindi wa Kwanza na wapili kwny ligi wanaenda CCL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…