Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza tangu ipate uhuru Senegal imeanza kusafisha mafuta ghafi ambayo yanazalishwa ndani ya nchi, ikifungua mlango mpya katika sekta ya nishati.
Kampuni ya African Refinery Company (SAR), ambayo imekuwa ikifanya kazi tangu 1961, ilitangaza Alhamisi kuwa imefanikiwa kusindika mafuta kutoka kwenye shamba la Sangomar, lililopo huko Senegal.
Kabla ya tangazo la Alhamisi ilikuwa inajulikana wazi kwamba SAR ilikuwa inasafisha mafuta ghafi yaliyokuwa yameingizwa kutoka nje, lakini hatua hii mpya inaashiria mabadilikomakubwa katika sekta ya nishati ya nchi hiyo
Kampuni hiyo imedokeza kuwa tangu Jumamosi, imeweza kusafisha mapipa 650,000 ya mafuta na hivyo kuzalisha takribani tani 90,000 za bidhaa za mafuta, ikiwa ni pamoja na dizeli, kerosene, petrol, na gesi ya butane.
Kufikia sasa imeripotiwa kuwa mafuta hayo yanayozalishwa na SAR tayari yanaifadhiwa kwa ajili ya usambazaji wa ndani.
==============================================================
For the first time in its history, Senegal has begun refining domestically produced crude oil, marking a major milestone in the country’s energy sector.
The African Refinery Company (SAR), which has operated since 1961, announced on Thursday that it successfully processed oil from the Sangomar field, an offshore production site in west-central Senegal.
Until now, SAR had only refined imported crude, but this latest development signals a shift toward greater energy self-sufficiency. The company revealed that since Saturday, it has refined 650,000 barrels of crude, yielding around 90,000 tonnes of fuel products, including diesel, kerosene, petrol, and butane gas.
These refined fuels are now being stored for local distribution.
Senegal officially began oil production in June at the Sangomar field, operated by the Australian energy company Woodside Energy. In addition to oil, the country also entered the natural gas market in December, sharing production with neighboring Mauritania along their maritime border
.While Senegal’s production levels remain far below those of major African oil producers like Nigeria, the new oil and gas ventures are expected to generate billions of dollars in revenue.
This economic boost could significantly accelerate the country’s development, supporting both exports and domestic energy consumption.
Source: African Diaspora International