Kwa mara ya kwanza ulingoni

Kwa mara ya kwanza ulingoni

Festiledi

Member
Joined
Nov 5, 2019
Posts
17
Reaction score
29
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Itifaki imezingatiwa. Jina langu ni Festiledi, kwa mara ya kwanza nimeamua kwa utashi wangu mwenyewe kua mwanachama kindakindaki wa Jamii Forum. Kama ilivyo ada kuku mgeni hakosi kamba mguuni hivyo basi nipokeeni. Nia na nudhumuni langu ni kujifunza vitu tofauti tofauti, kufurahi na kupashana habari.
Ahsanyeni[emoji1488]
 
Karibu sana nikuongoze kila chocho ya jf.

Ukisikia kuitwa PM nambie nikupe mwongozo
 
Back
Top Bottom