Kwa mara ya kwanza wanaume wa mkoani wametamani kuwa kama wanaume wa DAR...

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
Kufuatia ushindi wa TAIFA STARS dhidi ya UGANDA kwenye hii michuano ya kufuzu kombe la mataifa afrika,kumezua tafrani mikoani baada ya mkuu wa mkoa wa DAR kuahidi kuwa endapo TANZANIA tutaifunga UGANDA basi gambe litakuwa nusu bei,leo huku mikoani wadau roho inawauma sana kulipa bei mara mbili ya ile walioahidiwa wenzetu..sijui kwanini wakuu wa mikoa mingine walizubaa kwenye hili,tunaumia sana wallah!
 
Wanaume wa mikoani hatutegemei promo ndio tuzime

Na ndio maana mbeya inaongoza kwa walevi lakini hujawahi kusikia wamepewa ofa

Sent using unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…