Kwa mara ya kwanza Yanga yacheza mechi zote mbili Ugenini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mechi ya Kwanza walicheza nchini Ethiopia na Mechi ya Pili ambayo inaendelea sasa wanachezea Nchini Zanzibar.

Bado haijajulikana sababu hasa za kufanya Jambo hilo.

Bali Mitaani kumejaa manung'uniko ya Mashabiki wao kwa kuikosa mechi hiyo nchini mwao
 
images.jpeg
 
Zanzibar tokalini kukawa ugenini!??
 
Back
Top Bottom