Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mechi ya Kwanza walicheza nchini Ethiopia na Mechi ya Pili ambayo inaendelea sasa wanachezea Nchini Zanzibar.
Bado haijajulikana sababu hasa za kufanya Jambo hilo.
Kweupe PeeeSababu ni siasa na biashara ila uwanja wa amani Zanzibar wamepigwa
Zanzibar tokalini kukawa ugenini!??Mechi ya Kwanza walicheza nchini Ethiopia na Mechi ya Pili ambayo inaendelea sasa wanachezea Nchini Zanzibar.
Bado haijajulikana sababu hasa za kufanya Jambo hilo.
Bali Mitaani kumejaa manung'uniko ya Mashabiki wao kwa kuikosa mechi hiyo nchini mwao
Hujui au unataka kutusumbua tu?Zanzibar tokalini kukawa ugenini!??