Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kiwango kinachoonyeshwa na Waamuzi baada ya wenzao kufungiwa kinaonyesha waliofungiwa wameonewa. Mechi Tatu zilizopita zimechezeshwa Kwa butua butua ya Waamuzi na Leo Mdoe kafanya hitimisho la kutoa penati rahisi kuliko urahisi wenyewe. Labda baada ya mwenzake kumpa Mzize Kadi isiyojulikana sababu, Leo kaona alipize Kwa kutoa penati nyanya Kwa Mayele.