Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Asanteni viongozi wetu, Rais Samia na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wajumbe wa vyama vyenu kwa maridhiano kwa taifa.
Binafsi nimefurahishwa sana kwa hekima busara na hofu ya Mungu waliyonayo hao viongozi kukubali kuridhiana kwa niaba ya Watanzania wote ili Watanzania tuishi kwa amani na upendo vitu ambavyo Rais Magufuli hakuvitaka kabisa na kupelekea hofu kubwa ya kuishi kwa Watanzania na kupelekea baadhi ya wana CHADEMA kukimbia nchi yao.
Kutokana na maridhiano yaliyofikiwa ni imani yangu kuwa kauli za chuki na vitisho kama hii hazitasikika tena kwani ilikuwa ni kawaida kwa kila kiongozi enzi za Rais Magufuli kutoa kauli kama hizi na hakuna wa kuzikemea.