jmapunda
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 731
- 2,923
Tangu zama za kale tumezoea waganga wa kienyeji wakituagiza vitu ambavyo tumevizoea kama vile kuku mweusi au mweupe nk.
Mganga wangu huyu amesema nimerogwa uchawi wa jua na maji!Eti ili nitengenezewe dawa atahitaji solar power yenye watt za kutosha,sato wabichi kilo saba na shilingi laki tatu taslim!.Eti hapa kweli kuna tiba jamani?