Kwa masharti haya sijuwi kama tiba itafanyika!

jmapunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
731
Reaction score
2,923
Tangu zama za kale tumezoea waganga wa kienyeji wakituagiza vitu ambavyo tumevizoea kama vile kuku mweusi au mweupe nk.
Mganga wangu huyu amesema nimerogwa uchawi wa jua na maji!Eti ili nitengenezewe dawa atahitaji solar power yenye watt za kutosha,sato wabichi kilo saba na shilingi laki tatu taslim!.Eti hapa kweli kuna tiba jamani?
 
Kama humwamini huyo mganga ulienda kufanya nini!
 
Mtafuteee wa piliiii..atasemajee
 

Peleka kama hujapoa utavichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…