Waulize hao mabinti zako.
No No No! Hatuna mila potofu. Msandawe sio marangi, mmasai, mchaga wala makabila yote yenye mila potofu.
Nimetokea kuwa na uhusiano na mabinti wa kisandawe,kwa sura, shepu na tabia ni wazuri.Tatizo ni kuwa mabinti hawa wamekeketwa.
Naomba niwaulize mashemeji zangu kwanini mnaondoa kiungo hiki muhimu?
Nimetokea kuwa na uhusiano na mabinti wa kisandawe,kwa sura, shepu na tabia ni wazuri.Tatizo ni kuwa mabinti hawa wamekeketwa.
Naomba niwaulize mashemeji zangu kwanini mnaondoa kiungo hiki muhimu?
Kama kweli wewe shemeji yetu AKIANA?
Kwa kweli umedanganywa, sisi wasandawe siyo wa hivyo. Atupo nyuma kama wengi wetu. Hamna vifo vya kina mama wakati wakijifungua. Dada, mama zetu wanaenjoy penzi pindi waki dooo. Hao watakuwa majirani zetu. Jooleei
anga na wade.
Hivi kwenye lugha ya Kisandawe kuna 'ki'?
nina wasiwasi kama wewe ni msandawe!au labda ni msandawe aliyezaliwa muhimbili !