Salute kwa wanajamii wote!
NB: Nipo tayari kufanya kazi mazingira ya mjini au Vijijini.
KWA MASHIRIKA YA VIKUNDI VYA KIJASILIAMALI
naweza Kuunda mashine,mbalimbali zinazotumia teknolojia ya kisasa na kuzisimamia kwa ajili ya miradi ya vikundi na wajasiliamali.
Mfano:
*Maashine za kuatamia mayai na kutotoresha mayai ya ndege aina zote,za ukubwa mbalimbali.
*Mashine za kukausha matunda,mbogamboga na tambi
*Mashine za kukausha bidhaa za kwenye bahari na maziwa kama samaki,dagaa
*Mashine za kugandisha matofali ya barafu(Ice blocks).
ZIADA.
*Nna uzoefu katika kusimamia miradi ya vikundi vya kijasiliamali,katika kilimo na ufugaji,ambayvo inatumia mitambo na mashine zinazotumia teknolojia ,hasa katika miradi ya mashine za kuzalisha kuku na ufugaji.
*Naandika miradi ya ufugaji kuku,kwa muunganiko wa matumizi ya mashine za kisasa kwenye uzalishaji vifaranga,masoko uzalishaji wa mayai kama maligafi.
KWA KAMPUNI NA WATU BINAFSI.
*Kuunda machine na vifaa mbalimbali kwa teknolojia ya kisasa,kupitia mtaaluma yangu,vikauzwa kama bidhaa, au kutumika katika kuanzisha miradi mbalimbali ya kiuchumi ya kampuni.
*Kujenga,kusimamia na kufanya matengenezo ya mifumo ya umeme,katika viwanda au majengo ya kampuni au wateja wake.
*Ujenzi,usimamiaji au kufanya matengenezo mifumo ya nishati mbadala kama vile,mifumo ya umeme wa jua(Solar power)na umeme wa upepo(Wind power)'kwa kampuni au wateja wake.
*Ujenzi,usimamiaji na kufanya matengenezo ya mifumo ya "Electrical Backup sysytem",zinazotumi Engine generators,Solar power and Wind power,kwa kampuni au wateja
ZIADA
*Naandika na kufanya tafiti za miradi,kuhusiana na sector husika.
*Kusimamia miradi ya kitaaluma yangu na ya kawaida,katika kufikia Malengo yake.
*Kuipa bidhaa yoyote inayozalishwa na kampuni,thamani ya kisasa kupitia taaluma yangu ya Graphics design na Social media na Website marketing.
*Kutoa mawazo mapya ya miradi au shughuli mpya za kiuchumi zitakazo kuza na kufanya mawanda ya kampuni katika ukuaji wake.
*Kutoa mawazo na mbinu za kutafuta soko na kuongeza familia ya wateja wa bidhaa zitakazokua zinazalishwa au kuuzwa na kampuni.
UZOEFU
*Nimefanya kazi na kampuni ya kichina kwa miaka zaidi ya 4(Wamemaliza muda wao Wamerejea China.)
*Kwasasa nafanya part time na kampuni ya nyingine ya kichina ambayo niliunganishwa na wale wa mwanzo,ili nijishikize wakati natafuta ajira nyingine.Ila hawa wasasa wananihitaji pale kunapokua na Changamoto tu na kunilipa,na sio ajira ya kudumu.
********……………………………………**
PRECISE ABOUT ME
Iam Male 36 years old, electrical and lectronics expert with addition knowledge in Information technology (IT),Graphics Design,and Social media marketing and management.
Finished my studies at Vocational Training Center(VTC),under Vocational Training Authority (VETA),and took further knowledge by attending online classes,from different parts of world,where I achieved extral knowledge like Information Technolodge and(IT), Graphics Design,and Social media Marketing and management.
With 10years experience in my professional,5years on other extra knowledge.
EXPERT IN
1.ELECTRICAL INSTALLATION
*Household and Industrial Installation and maintanance
2.ELECTRONICS AUTOMATION
*Electronics circuits design in machine oparation
*Switching devices,Sensors circuit design and building
3.CCTV CAMERAS.
*Installation and Control.
4.SOLAR ELECTRICAL POWER
*Installation and building
*Power backups
5.WIND POWER
*Designing,building and Installation
*Power backups
6.EELCTRICAL POWER ENGINE GENERATOR
*Installation and Maintanance l.
7.ELECTRICAL MOTOR
*Installation and Maintanance
…………………****………
ADDITIONAL KNOWLEDGE
1. AIRCONDITION
*Installation and Maintanance.
2.COMPUTER
*Maintanance and repair
*Software Installation and configuration
3. 5MICROSOFT OFFICE
*Microsoft office package.
4.WEBSITE BUILDING.
*Javascript language
*CSS and HTML language
*Apache websaver
5.GRAPHIC DESIGN
*Adobe Photo Editor
*Photoscape
6. SOCIAL MEDIA ACCOUNTS MARKETING AND MANAGMENT.
*Instagram
*Facebook
*YouTube
7. POUTRY PRODUCTION
*Eggs incubation and hatching machine construction
*Poutry managment and marketing.
8. CAR DRIVING LICENSE
*Class D
Kwa mwenye nafasi kazi tusaidiane jamani.RESPECT!
Tuwasiliane DM