Kwa mashirika/kampuni au watu binafsi naomba mnipe nafasi niwatumikie, hamtojuta

Ku
Kuna namba nakupa inbox. Jaribu bahati yako hapo walinambia wanataka watu wenye sifa kama yako
 
Kwa CV kama hiyo unadhindwaje kujiajiri?
 
Kwa CV kama hiyo unadhindwaje kujiajiri?
Nimejiajiri...ila bado nahitaji mawanda mapana zaidi ya kutekeleza kile ambacho naweza kukitoa kwa jamii...utekelezaji wa miradi yenye kuleta positive change kwenye jamii.

Yani naamaana nisiishie tu kutoa service mtaani ila niweze kuleta revolution katika kutatua matatizo ya jamii kupitia sayansi na teknolojia,iwe katika miradi ya kilimo,biashara n.k

kuajiliwa kunakukutanisha na watu wenye mitaji ambayo unaweza kutanua scope ya kile unachofanya....

By the way kuajiliwa sio dhambi kuna watu ni maprofesa wana CV za kutisha na bado wameajiliwa.

Karibu!
 
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…