Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmnh! I dislike it!
okey..!bt why?tell us where to fix!
Mbona haileweki sasa mpaka utume detail zako kwenye email ndo uunganishwe, huo sio mpango kitu uingie mwenyewe ukikuta mchumba manaanza kuchat. Huo utaratibu wa kutuma information sio manake mtu anaangalia usalama wa detail zake. Af blog yenyewe ilivyo haina mpangili mzuri, ningewashauri mfungue web na iwe katika utaratibu ambao mtu anajitafutia mtoto sio mpaka awatumie mail. Huo mpango naona utakuwa mgumu.
Hii si user freindly, inatakiwa uweke picha za watu ili mtu akiingia achague mwenyewe na wafanye wao mawasiliano isije ikawa njia ya kulinki watu wa jf na details zao, naogopa inaweza ikawa njama za ccm hizi
okey..!bt why?tell us where to fix!
Itabidi nitoe taarifa ZOTE za uongo au za bandia kwenu, nifungue email mpya majina ya uongo kasoro simu sitoi. Then mkishaniunganisha na huyo mtu, kama ni kweli hapo ndo natoa taarifa zangu za ukweli. :typing:
Itabidi nitoe taarifa ZOTE za uongo au za bandia kwenu, nifungue email mpya majina ya uongo kasoro simu sitoi. Then mkishaniunganisha na huyo mtu, kama ni kweli hapo ndo natoa taarifa zangu za ukweli. :typing:
Mh kwa kweli haijanivutia kivile....it looks dark and gloomy.anyway ngoja tusubirie feedback za watakaoitumia hiyo site
AS LONGER WE HAVE NO BAD INTENTION WITH ANY BODY Just do as u wish,welcome!